"Naomba usibishe hapo.. mwanzo tulikuwa na utamaduni wetu.. tuliimba nyimbo za kuusifu.. hata muziki wetu ulikuwa wa kizalendo.. waliibuka vijana na kuutukuza.. Watanzania wenye asili ya kiasia walijitokeza na kuimba kutetea utamaduni wa Bongo 'Tazamia Tanzania' Yafaa tukumbuke tuliaswa vipi.."
'Watanzania taifa lisilo na utamaduni wao ni sawa na watumwa' - Nyerere.. By Deus Bugaywa
"Mtoto anayemaliza darasa la Saba leo anajengwa zaidi fikra kwa mtazamo wa magaribi na aina ya maisha anayoyaona mjini kama ni wa kijijini, au kwenye luninga.. Sehemu pekee ambayo ingeweza kujenga Utanzania wa mtoto huyu ni Shuleni amabako ilitarajiwa kama taifa lililo huru, linajenga moyo wa uzalendo na utaifa kwa watu wake" - By Deus Bugawaya
No comments:
Post a Comment